Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

WANAFUNZI WA FORM SIX WAHUDHURIA SEMINA LEO,NDANI YA OFISI ZA GEL,INAYOHUSU THE WAY FORWARD AFTER EXAMS.


 Representative wa Lovely Professional University, Mr. Aamien akiongoza semina hiyo, alizungumza mambo mbalimbali wanayopaswa kufanya wanafunzi wa form six  mara baada ya matokeo yao kutoka..Semina hii imeandaliwa na Global Education Link kwa lengo la kuwaandaa wanafunzi kabla ya matokeo kutoka wawe na uelewa wa hatma zao. 
 Pia walipata fursa ya kufahamishwa GRADES zinazotakiwa na vyuo mbalimbali na kozi zinazopatikana na namna zilivyo.

KIKAO CHA WAZAZI WANAOSOMESHA WATOTO WAO CHUO CHA LOVELY PROFESSIONAL UNIVERSITY,INDIA.


 Wazazi wenye wanafunzi chuo cha Lovely Professional University,INDIA wakiwa katika kikao pamoja na STAFF wa Lovely Professional University.Kikao hicho kilihusu mambo mbalimbali yanayowakabili wanafunzi wanaosoma INDIA,pia suala la Accounts za malipo ya ADA na MATOKEO ya wanafunzi.yalijadiliwa.
 Mzazi akikagua report ya MATOKEO ya mtoto wake anayesoma Lovely Professional University,INDIA.

SHABAAN ROBERT EXHIBITION

Global Education Link(GEL) ambao ni mawakala wa vyuo vya nje ya nchi, wakiwa katika Exhibition ya vyuo vikuu vya nje ya nchi, ndani ya shule ya sekondari ya Shabaan Robert.Hao ni baadhi ya wanafunzi wakichukua maelezo na mawasiliano ya GEL agency. 

Zakia Nassor akizungumza na mzazi akiwa na mwanae anayetaka kwenda nchini INDIA kwa masomo ya Sheria..

Mwanafunzi pamoja na mzazi wake wakieleweshwa juu ya kozi ya OIL & GAS.


ARUSHA SEC. SCHOOL 50 th ANNIVERSARY OFFICIALLY SPONSORED BY GLOBAL EDUCATION LINK LTD.


 Wanafunzi wakiingia katika viwanja vilivyoandaliwa kwa sherehe za kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwa shule ya Arusha Secondary.

LOVELY PROFESSIONAL UNIVERSITY WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL EDUCATION LINK,ARUSHA.

 Mkurugenzi wa GEL pamoja na Staff wa Lovely Professional University(LPU) kutoka INDIA  wakiwa ndani ya ofisi za GEL Arusha. 

STAFF WA LOVELY PROFESSIONAL UNIVERSITY KUTOKA INDIA, NDANI YA OFISI ZA GLOBAL EDUCATION LINK,DAR ES SALAAM.


 Mkurugenzi mtendaji wa GEL,Abdulmalik Mollel (kushoto) akiwakaribisha Staff wa Lovely Professional University ya INDIA, Mr.Singh (wa pili kutoka kushoto) na Mr. Aamien (wa tatu kutoka kushoto). 

 Mr. Singh akionyeshwa mazingira ya ofisi za GLOBAL EDUCATION LINK na Abdulmalik Mollel.

BAADHI YA WANAFUNZI WA KIDATO NNE WALIJIBU MITIHANI YAO KWA KUCHORA KATUNI NA KULIZUNGUMZIA BUNGE.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Joyce Ndalichako akionyesha karatasi ya majibu ya mmoja wa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2012, Dar es Salaam jana.

 “Unakuta mwanafunzi anaeleza anavyolishangaa Bunge… mtu anaandika… nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala kujadili kero za wananchi waliowachagua, wanapokea timu zilizoshinda makombe… timu ikishinda Kombe la Kagame inapokelewa bungeni. Bunge limekuwa kama kijiwe, bungeni siyo ukumbi wa starehe kama mnataka kupokea timu hizo nendeni katika ofisi zao au viwanjani…” alisema.

ST. FRANCIS GIRLS SECONDARY SCHOOL, MBEYA YAONGOZA KWA UFAULU MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012.(TOP 20 SCHOOLS)


Shule 20 bora.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wizara ilitaja shule 20 zilizofanya vizuri badala ya 10 kama ilivyozoeleka, kati yake 18 zilikuwa za watu binafsi na mashirika ya dini na mbili za Serikali.

Shule hizo ni;

1. St.Francis Girls ya Mbeya.

2. Marian Boys ya Pwani.

3. Feza Boys ya Dar es Salaam.

4. Marian Girls ya Pwani.

5. Rosmini ya Tanga.

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE. ASILIMIA 60 YA WANAFUNZI WAMEPATA DIVISION ZERO (WAMEPATA SIFURI).


Kwa mujibu wa matokeo hayo, watahiniwa waliopata daraja la kwanza ni 1,641, wavulana wakiwa 1,073 na wasichana 568, daraja la pili ni 6,453, wavulana wakiwa 4,456 na wasichana 1,997.


MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yametangazwa. Watahiniwa 240,903 sawa na asilimia 60.6 wamepata sifuri, huku wanafunzi 23,520 tu ambao ni sawa na asilimia 5.16 ndiyo waliofaulu na wengine 103,327 sawa na asilimia 26.02 wamepata daraja la nne.


Akitangaza matokeo hayo jana, Waziri wa Elimu Dk. Shukuru Kawambwa alisema watahiniwa walikuwa 456,137, wa shule wakiwa 397,136 huku wa kujitegemea wakiwa 68,806.
“Matokeo ya mwaka huu yamekuwa mabaya sana, Serikali tunasikitika kutokana na hali hii lakini tuna mipango mbalimbali ya kuhakikisha tunaweza kutatua hili tatizo,” alisema Dk. Kawambwa.



MKURUGENZI MTENDAJI WA GEL AKIWASILISHA MADA MBELE YA WANAFUNZI WA ST. MARIE GORETI SECONDARY SCHOOL.

 Mkurugenzi mtendaji wa GEL,Abdulmalik Mollel akiwa katika uwasilishaji wa mada kwa wanafunzi wa FORM 5 na FORM 6,St. Marie Goreti Secondary School iliyopo Moshi mjini. 
 Abdulmalik Mollel, akitoa elimu juu ya uchaguzi wa kozi zenye manufaa kwa wanafunzi na taifa letu.Na kuwaandaa wanafunzi juu ya maamuzi yao katika elimu na katika vyuo watakavyochagua.


GEL WAKIWA SOLACE GIRL'S HIGH SCHOOL,MBEYA.


 Wanafunzi wakisikiliza presentation ya GLOBAL EDUCATION LINK(GEL). Ni wanafunzi wa kidato cha nne, wakipatiwa elimu juu ya namna ya kufikia malengo yao katika elimu.Na namna wanavyoweza kupata udahili wa vyuo vya nje ya nchi vinavyotambuliwa na Tume Ya Vyuo Vikuu (TCU).

 Mkurugenzi wa Udahili, Zakia Nassor akiongea na wanafunzi.Akizungumzia changamoto wanazopata wanafunzi wakati wa udahili hapa nchini, pia kueleza namna watakavyoweza kupata udahili wa vyuo vya nje ya nchi.GEL inafanya kazi na vyuo mbalimbali katika nchi zifuatazo, INDIA,MALAYSIA,CHINA,UKRAINE,UK na USA.

GEL WAKIWA SANGU HIGH SCHOOL.

 Mkurugenzi wa Udahili,Zakia Nassor akizungumza na wanafunzi wa Sangu High School.

 Wanafunzi wakisikiliza presentation ya GEL.



GEL WAKIWA META SECONDARY SCHOOL,MBEYA.

 GEL wakiandaa chumba cha kufanyia presentation Meta sec.school.

 Mwanafunzi akisoma taarifa fupi inayoonyesha TCU (TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES) kutambua vyuo vinavyofanya kazi na GEL. 

GEL WAKIWA MBALIZI SECONDARY SCHOOL.

Wanafunzi wa Mbalizi wakifuatilia presentation ya GEL.


GEL wakiendelea na presentation. 


Mambo yakiwa yanaendelea. 

GEL WAKIWA WENDA HIGH SCHOOL,MBEYA.

GEL ndani ya Wenda high school. 

Staff wa GEL wakiwa getini.

GEL WAKIWA SOUTHERN HIGHLAND HIGH SCHOOL,MBEYA.

GEL na wanafunzi wa Southern Highland High School katika picha ya pamoja.


 Wanafunzi wakijaza fomu za kujisajili GEL. 

GLOBAL EDUCATION LINK WAKIWA PANDA HILL SECONDARY SCHOOL,MBEYA, KUFANYA PRESENTATION.

Timu ya MARKETING EXECUTIVES wa GEL, wakiongozwa na DIRECTOR OF ADMISSIONS Zakia Nassor. Ndani ya PANDA HILL SEC. SCHOOL,Mbeya, kufanya presentation.

Zakia Nassor, akiwasili katika ukumbi wa shule kufanya presentation.

 GEL MARKETING EXECUTIVE,Douglas Kimala,akimpa zawadi mwanafunzi.

 Wanafunzi wa PANDA HILL SEC. SCHOOL wakisikiliza presentation ya GLOBAL EDUCATION LINK.



 Zakia Nassor, akizungumza na Mkuu wa shule.

MKURUGENZI MTENDAJI WA GEL AKIWA KATIKA HAFLA YA KUWAAGA WANAFUNZI.

Mkurugenzi akiongea katika HAFLA hiyo,kuagana na wanafunzi wakijumuika pamoja na familia zao.


 Mkurugenzi(kuanzia kushoto), Domonic Dogani(Mwanafunzi wa SHARDA University) na Douglas Kimala wakijibu maswali.

TRIP YA GEL KWENDA NAIROBI KUPATA VISA ZA WANAFUNZI

Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika POZ.Hii ilikuwa trip ya Nairobi kwaajili ya kuchukua VISA    za kwenda UKRAINE.


     Wanafunzi wakiendelea kufurahia safari yao.

Share