Mkurugenzi Mkuu wa Tan Trade, Jacqueline Maleko.(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacqueline Maleko (katikati),
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo,
kuhusu Maonesho ya Kwanza ya Kimataifa ya Elimu yatakayofanyika kuanzia
Desemba 10 hadi 14, 2014 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu JK.
Nyerere Barabara ya Kilwa. Maonesho hayo yanafanywa na TanTrade kwa
kushirikiana na Taasisi ya Global Education Link Ltd. Kulia ni
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara za Ndani Tanzania, Edwin Rutageruka
na Mkuu wa Taasisi ya Global Education Link Ltd, Abdulmalic Mollel.