Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

YALIYOJIRI NDANI YA JENGO LA GEL ,KATIKA MAONYESHO YA 77.


Juma ,Marketing Executive, Dar es Salaam Headquarters, akitoa ufafanuzi juu ya huduma zinazotolewa na GLOBAL EDUCATION LINK LTD.

Abraham Kiishweko, Arusha Branch Manager, Gel. Akichambua vyuo tunavyopeleka wanafunzi kusoma nje ya nchi kwa maana ya CHINA,INDIA,MALAYSIA,UKRAINE,USA,CANADA na UK.

Jackie Bomboma, Marketing Executive, Dar es Salaam Headquarters.Akijadili urahisi wa kwenda kusoma nje, upatikanaji wa huduma za malazi na gharama za kwenda nje. 

Arnold,Student, From Maharishi University INDIA.Akitoa ushauri juu ya kozi mbalimbali na namna zilivyo na pia kuonyesha gharama za kozi hizo. 

Jackie akifafanua mchakato mzima wa kwenda nje kusoma, nchi zenye gharama nafuu na vitu vya msingi anavyopaswa kufahamu kila mtu kabla ya kwenda nje ya nchi.

Abdulmalik Mollel, Mkurugenzi Mtendaji, akifafanua namna mwanafunzi anavyoweza kupata udahili nje ya nchi kupitia GLOBAL EDUCATION LINK.

 Mollel akiwashauri wateja juu ya kozi zenye manufaa na namna wanavyoweza kupata nafasi katika vyuo vya nje ya nchi na gharama za kwenda huko.







Share