Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

GEL VISIT TO MWANDEGE BOYS SECONDARY SCHOOL

GLOBAL EDUCATION LINK(GEL) yatembelea shule ya sekondari ya wavulana ya Mwandege


 Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link, Mr Abdulmalik S. Mollel akiwasilisha mada mbele ya wanafunzi wa MWANDEGE.

Mr Mollel akielezea huduma zinazotolewa na Global Education Link kwa wanafunzi. 

Wanafunzi wa MWANDEGE wakifuatilia mjadala. 

Mr. Mollel  akijibu maswali mbalimbali ya wanafunzi.

Mr. Mollel akisisitiza wanafunzi kuwa matokeo mazuri ndiyo yatakayowawezesha kwenda nje kuendelea na Elimu ya juu, kwa maana ya Certificate, Diploma, Degree Foundation na Bachelor.

Staff wa GEL(Kuanzia kushoto ni Jackie Bomboma(Marketing Executive), Godson Hagai(Marketing Executive), Zakia Nassor(Director of Admission)) wakifuatilia mjadala.

Mwakilishi wa wanafunzi akitoa maneno ya shukrani kwa Global Education Link(GEL). 

Mwakilishi wa  wanafunzi akitoa mkono kuagana na Mr. Mollel.

Marketing Executive, Jackie akiwaelekeza  wanafunzi kujaza fomu za gel.

Mkurugenzi Mtendaji wa GEL, akiagana na walimu na mwakilishi wa wanafunzi pamoja na CHIEF EXECUTIVE wa Mwandege Boys Sec. School Mr Enock Walter Mrisha(Wa Pili Kutoka  kulia).

Picha za Wanafunzi.

Wanafunzi wakijiandikisha katika Fomu za Gel.

Majadiliano ya mwisho yakiwemo maswali ya papo kwa hapo kati ya Wanafunzi na Mr. Mollel.

Hitimisho na ushauri kwa wanafunzi.















Share