Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

ILEJE YATUMIA SH 35.8 MIL VIFAA MAABARA

Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa sawa Kwa Wote(EOTF),Anna Mkapa (wa pili kushoto), akitazama  bidhaa zinazotengenezwa na kikundi cha Engiterata Sidai, kilichopo Wilayani Arumeru, Mkoani Arusha, alipokitembelea juzi.



Ileje. Halmashauri ya Wilaya ya Ileje imetumia kiasi Sh35.8 milioni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya maabara rafiki ili kuondokana na tatizo lililokuwa linawakabili katika mafunzo ya vitendo kwa masomo ya Sayansi.



Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Rosemary Senyamule aliyasema hayo wakati wa makabidhiano ya maabara hizo na Kampuni ya Mlenterprises (LTD), na kuongeza kuwa tatizo la wanafunzi kusoma bila mafunzo ya vitendo litapungua.

Senyamle aliongeza kuwa halmashauri hiyo inaishukuru serikali kwa kuweza kuwapatia fedha hizo kwa kuwa imesaidia kuondokana na tatizo ambalo lilikuwa linaikumba wilaya hiyo kwa muda mrefu.

PICHA: MWANANCHI
Share