Representative wa Lovely Professional University, Mr. Aamien akiongoza semina hiyo, alizungumza mambo mbalimbali wanayopaswa kufanya wanafunzi wa form six mara baada ya matokeo yao kutoka..Semina hii imeandaliwa na Global Education Link kwa lengo la kuwaandaa wanafunzi kabla ya matokeo kutoka wawe na uelewa wa hatma zao.
Pia walipata fursa ya kufahamishwa GRADES zinazotakiwa na vyuo mbalimbali na kozi zinazopatikana na namna zilivyo.