Wanafunzi wakisikiliza presentation ya GLOBAL EDUCATION LINK(GEL). Ni wanafunzi wa kidato cha nne, wakipatiwa elimu juu ya namna ya kufikia malengo yao katika elimu.Na namna wanavyoweza kupata udahili wa vyuo vya nje ya nchi vinavyotambuliwa na Tume Ya Vyuo Vikuu (TCU).
Mkurugenzi wa Udahili, Zakia Nassor akiongea na wanafunzi.Akizungumzia changamoto wanazopata wanafunzi wakati wa udahili hapa nchini, pia kueleza namna watakavyoweza kupata udahili wa vyuo vya nje ya nchi.GEL inafanya kazi na vyuo mbalimbali katika nchi zifuatazo, INDIA,MALAYSIA,CHINA,UKRAINE,UK na USA.
Mwenyeji wa GEL Mbeya, Mama Mayunga (kushoto) na Marketing Executive,Mariam Mpetta (Kushoto).
Mwalimu wa SOLACE akisikiliza.
Mwalimu wa SOLACE akiwashukuru GLOBAL EDUCATION LINK kwa ujio wao.Na pia kuwaomba waje tena kuwapa elimu wanafunzi wao juu ya kuchagua kozi za kusomea zinazowafaa pamoja na kuwapa maelekezo ya udahili wa vyuo vya nje ya nchi.
Zakia Nassor, akiandika namba za mawasilano.
Zakia Nassor, akiwaaga wanafunzi.
Mariam Mpetta akichukua namba za mawasiliano kwa Mwalimu wa SOLACE.
Mkuu wa Shule ya SOLACE Girl's High School akisaini kitabu cha mawasiliano cha GEL.
Picha ya pamoja na Mkuu wa Shule, Manager wa Shule na Staff wa GEL.
Production Manager wa GEL,Said Wende, akiaga.