Shule 20 bora.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wizara ilitaja shule 20 zilizofanya vizuri badala ya 10 kama ilivyozoeleka, kati yake 18 zilikuwa za watu binafsi na mashirika ya dini na mbili za Serikali.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wizara ilitaja shule 20 zilizofanya vizuri badala ya 10 kama ilivyozoeleka, kati yake 18 zilikuwa za watu binafsi na mashirika ya dini na mbili za Serikali.
Shule hizo ni;
1. St.Francis Girls ya Mbeya.
2. Marian Boys ya Pwani.
3. Feza Boys ya Dar es Salaam.
4. Marian Girls ya Pwani.
5. Rosmini ya Tanga.
6. Canossa ya Dar es Salaam.
7. Jude Moshono ya Arusha.
8. St. Mar’s Mazinde Juu ya Tanga.
9. Anwarite Girls ya Kilimanjaro.
10. Kifungilo Girls ya Tanga.
11. Feza Girls ya Dar es Salaam.
12. Kandoro Sayansi Girls ya Kilimanjaro.
13. Don Bosco Seminary ya Iringa.
14. St.
Joseph Millenium ya Dar es Salaam.
15. St. Iterambogo ya Kigoma.
16. St. James
Seminary ya Kilimanjaro.
17. Mzumbe ya Morogoro.
18. Kibaha ya Pwani.
19. Nyegezi
Seminary ya Mwanza.
20. Tengeru Boys ya Arusha.