Mkurugenzi mtendaji wa GEL,Abdulmalik Mollel (kushoto) akiwakaribisha Staff wa Lovely Professional University ya INDIA, Mr.Singh (wa pili kutoka kushoto) na Mr. Aamien (wa tatu kutoka kushoto).
Mr. Singh akionyeshwa mazingira ya ofisi za GLOBAL EDUCATION LINK na Abdulmalik Mollel.
Mr.Mollel akiendelea kuwapa maelekezo mbalimbali wageni hao kutoka INDIA.
Mr. Aamien akifurahia jambo ndani ya ofisi za GEL, Dar es salaam.
Mr. Mollel akiendelea kuwatembeza wageni kutoka INDIA ndani ya Ofisi za GEL,Dar es salaam.
Mr. Aamien akiwa katika meza ya Mkurugenzi wa Udahili, Zakia Nassor.