Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

ARUSHA SEC. SCHOOL 50 th ANNIVERSARY OFFICIALLY SPONSORED BY GLOBAL EDUCATION LINK LTD.


 Wanafunzi wakiingia katika viwanja vilivyoandaliwa kwa sherehe za kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwa shule ya Arusha Secondary.


Mkurugenzi wa GEL(katikati),akiwasili katika sherehe hizo.GEL ndio wadhamini wa sherehe hizo.  

 Mbunge wa Arusha Mjini,kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Godbless Lema alipokaribishwa kuzungumza na wananchi wake. 

 Mr. Abdulmalik Mollel (Mkurugenzi wa GEL) akizungumza katika sherehe ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Shule ya Sekondari Arusha.


 Mkurugenzi mtendaji wa GEL, Mr. Abdulmalik S. Mollel akipongezwa na kukabidhiwa cheti cha kutambua GEL kama Sponsor wa Sherehe hizo.


 Percussion Band iliyotumbuiza wageni waalikwa.

 Watu waliohudhuria sherehe hizo.

Wageni kutoka Lovely Professional University,India nao pia  walihudhuria sherehe za 50th Anniversary ya Arusha Sec. School.Nyuma yao ni GEL BRANCH MANAGER, Mr. Abraham Kiishweko.







Share