Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

WANAFUNZI WA FORM SIX WAHUDHURIA SEMINA LEO,NDANI YA OFISI ZA GEL,INAYOHUSU THE WAY FORWARD AFTER EXAMS.


 Representative wa Lovely Professional University, Mr. Aamien akiongoza semina hiyo, alizungumza mambo mbalimbali wanayopaswa kufanya wanafunzi wa form six  mara baada ya matokeo yao kutoka..Semina hii imeandaliwa na Global Education Link kwa lengo la kuwaandaa wanafunzi kabla ya matokeo kutoka wawe na uelewa wa hatma zao. 
 Pia walipata fursa ya kufahamishwa GRADES zinazotakiwa na vyuo mbalimbali na kozi zinazopatikana na namna zilivyo.


 Wanafunzi waliohudhuria wakifuatilia kwa makini semina hiyo.

 Wakiangalia video maalum ya chuo cha Lovely Professional University cha INDIA.Inayoonesha mazingira mbalimbali ya chuo hicho.
Wakiendelea kuangalia video hiyo na kupewa maelezo na Mr. Aamien kutoka INDIA.
Share