Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

GEL WAKIWA MBALIZI SECONDARY SCHOOL.

Wanafunzi wa Mbalizi wakifuatilia presentation ya GEL.


GEL wakiendelea na presentation. 


Mambo yakiwa yanaendelea.  Wanafunzi wakisikiliza kwa makini.


 DIRECTOR OF ADMISSIONS,akibeba GEL PASSPORT kugawa kwa wanafunzi.


 Wanafunzi wakifuatilia maelekezo.


 Wanafunzi wakifurahia jambo.


Wanafunzi wakijaza fomu za usajili.Huku wengine wakitumia migongo ya wenzao kama meza. 


 Ujazaji wa fomu za usajili ukiendelea.


 Wanafunzi wakishauriana namna ya kujaza fomu. 


 Kazi ikiwa inaendelea.


 Mariam Mpetta akiwa anakusanya fomu za usajili.


 Mariam Mpetta,akimwelekeza mwanafunzi.


 Mwanafunzi akifurahia.


 Picha ya pamoja na Mwalimu.


 Bango la shule. Mbele ya shule.


 Mariam akijaza kitabu cha wageni.


Director of Admissions akifunga presentation.


Share