Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

GEL WAKIWA SANGU HIGH SCHOOL.

 Mkurugenzi wa Udahili,Zakia Nassor akizungumza na wanafunzi wa Sangu High School.

 Wanafunzi wakisikiliza presentation ya GEL.
 Presentation ikiwa inaendelea.

 Wanafunzi wa Sangu wakijaza fomu za usajili.

 Wanafunzi wakiangalia VIDEO inayoonesha vyuo vya nje.

 Zakia Nassor, akiwapa wanafunzi namba za mawasiliano.

 Zakia Nassor, akijibu swali.

 Mwanafunzi akiuliza swali.

 Mwanafunzi akiuliza kama baada ya kuhitimu masomo yake nje ya nchi, atatambulika ndani ya nchi na TCU?.

 Zakia Nassor, akijibu swali la mwanafunzi kwa kumuonesha Mwalimu vithibitisho vya utambuzi wa vyuo vya nje ndani ya nchi.

 Kiranja Mkuu wa shule ya Sangu,akitoa shukrani na kufunga presentation ya GEL.

Mama Mayunga na Staff wa GEL katika picha ya pamoja.


Share