Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

MKURUGENZI MTENDAJI WA GEL AKIWA KATIKA HAFLA YA KUWAAGA WANAFUNZI.

Mkurugenzi akiongea katika HAFLA hiyo,kuagana na wanafunzi wakijumuika pamoja na familia zao.


 Mkurugenzi(kuanzia kushoto), Domonic Dogani(Mwanafunzi wa SHARDA University) na Douglas Kimala wakijibu maswali.


 Mkurugenzi akizungumza na wanafunzi waliopitia GLOBAL EDUCATION LINK kwenda nje ya nchi kwa masomo yao.
Share