Pages

Welcome to GLOBAL EDUCATION LINK. STUDY ABROAD through US. WE Admit YOU to Overseas Universities, We give YOU right Information, WE Advice on Course Selection, WE Guide YOU On Your CAREER, WE Guide YOU on University SELECTION, WE Assist YOU on YOUR Visa Process. JOIN US NOW OR CALL US ON 0656 200 200 for MORE Information. WELCOME TO FEEL THE DIFFERENCE.

MAGAZETI LEO ALHAMISI

Pata habari mbalimbali zilizojiri katika kurasa za mbele na nyuma ya magazeti, Alhamisi  28 machi 2013.



WATOTO WASIOKWENDA SHULE WILAYANI KIBONDO WASAKWA



SERIKALI wilayani Kibondo msako wa kuwasaka watoto wenye umri wa kwenda shule walioko mitaani wakifanya biashara mbalimbali.  Mkuu wa Wilaya hiyo, Venance Mwamoto alisema uamuzi huo umetolewa baada ya kuona kuna wimbi kubwa la watoto wenye umri wa kwenda shule wanaoonekana mjini wakiuza vitu mbalimbali.



WANAFUNZI 512 WAFELI MTIHANI KIDATO CHA PILI


WANAFUNZI 512 wamefeli mtihani wa kidato cha pili uliofanyika mwaka jana katika Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, kutokana na ukosefu wa walimu pamoja na utoro kwa wanafunzi. Hayo yameelezwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Kilindi, Suleiman Liwowa, wakati wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kilichofanyika juzi mjini hapa.

Alisema tatizo hilo ni kubwa zaidi kwa kuwa nusu ya wanafunzi hao wamefeli na waliofaulu ni 471 kati ya watahiniwa 993.

“Wilaya ya Kilindi haikufanya vizuri matokeo ya kidato cha pili na cha nne na yamesababishwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa walimu pamoja na mwamko mdogo wa elimu kwa baadhi ya wazazi.

WASIOAMINI MATOKEO KIDATO CHA NNE(4) WAKATISHWA TAMAA

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limeeleza kuwa mara nyingi ukataji rufaa na usahihishaji upya wa mitihani hiyo, matokeo yamekuwa hayabadiliki kutokana na umakini wa usahihishaji.

Ofisa Habari wa Necta, John Nchimbi alisema hayo jana alipokuwa akizungumza kuhusu matokeo ya wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana, waliokata rufaa kutaka mitihani yao isahihishwe upya.

Kwa mujibu wa Nchimbi, mpaka sasa wanafunzi 530 wamekata rufaa ya kutaka kusahihishiwa upya mitihani yao ya kidato cha nne, na matokeo ya wanafunzi saba tu ndiyo yaliyobadilika.

WANAFUNZI 4,800 NJOMBE NI MBUMBUMBU

ZAIDI ya wanafunzi 4,800 wa darasa la nne hadi la saba, katika shule za msingi mkoani Njombe hawajui kusoma, kuandika wala kuhesabu. Hayo yalielezwa na Ofisa Elimu Takwimu mkoani hapa, Sandagila Mgaya, alipotoa taarifa ya elimu katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC).

Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na watendaji mbalimbali wa mkoa, Mgaya alisema hali hiyo ni mbaya na inahatarisha maendeleo ya elimu katika mkoa huo mpya.

Alisema kati ya wanafunzi hao wasiojua kusoma, kuhesabu wala kuandika, wapo 19 wanaosoma kidato cha pili na tatu katika shule za sekondari katika mkoa huo.

MAGAZETI LEO JUMATANO



PUBLIC LECTURE ON CONSERVATION AND DEVELOPMENT




DEPARTMENT OF GEOGRAPHY AND ENVIRONMENTAL STUDIES
      Public Lecture on Conservation and Development
By Daniel Brockington
Professor of Conservation and Development: University of Manchester
Wednesday, 27th March 2013: From 2.00pm to 4.00pm
Venue: Lecture Theatre 1, School of Social Science
Professional backgroundDaniel Brockington works as a Professor of Conservation and Development at the Institute of Development Policy and Management - a leading development studies research institute in UK - at the University of Manchester. Previously, Prof. Brockington worked at the Geography Departments of the Universities of Cambridge and Oxford.
Professional achievements - Prof. Brockington is renowned for his works "Nature Unbound: Conservation, Capitalism and the Future of Protected Areas" (co-authored with Rosaleen Duffy and James Igoe); and "Celebrity and the Environment: Fame, Wealth and Power in Conservation". He has also made several book contributions. He has
published over 30 journal articles for journals with high impact factors such "Science", "Oryx", "Conservation and Society, "World Development", "Conservation Biology" and "African Affairs".
The lecture is free to attend, for further information please email Mathew Bukhi at bukhimathew@gmail.com or Thabit Jacob at thabitsenior.jacob@gmail.com

MAGAZETI LEO JUMANNE



DUWASA SETS ASIDE 27 BN/- TO IMPROVE UDOM WATER SUPPLY


At least 27.7bn/- has been set aside by the Dodoma Urban Water supply and Sewerage Authority (Duwasa) to improve water and sewage system in the University of Dodoma.


This was said by Duwasa Acting Managing Director David Pallangyo, when handing over different items including bedsheets to the Makole health centre in the country’s designated capital. 


IFM STUDENTS DISOWN POLICE REPORT ON KIGAMBONI HOSTELS


Police probe report into the alleged crimes against students at the Institute of Finance Management (IFM) hostels at Kigamboni in Dar es Salaam, has controversially claimed that there are no such boarding houses in the area.


This is in accordance to the report read out by the Temeke Regional Police Commander, Englibert Kiondo, at the weekend.
The students who were part of the 13 member probe team dubbed “Joint Operation Intelligence and In vestigation (JOII)” have expressed extreme dissatisfaction with the report and complained that the police have released the report in their absence against agreed course of action.

PHYSICAL EDUCATION PILOT PROJECT STARTS IN MOSHI

                                    Denis Makoi


By Joseph Mchekadona
A National pilot project to combine physical education and academic subjects for Secondary Schools in the country rolls out on Monday next week in Kilimanjaro region.
Speaking in an interview, Denis Makoi who is the chairman of Tanzania Sports Training Center (TSTC), one of the pioneers of the project said the it starts at 24 Secondary Schools of the region and 28 teachers were trained to teach.
He said the project is the first of its kind in the world and will be implemented by Ministry for Information, Youth, Culture and Sports, Ministry of Natural Resources and Tourism TSTC.

GEL D.A ZAKIA NASSOR IN CHINA VISITING UNIVERSITIES.

GEL D.A Zakia Nassor, At Jiangxi university of TCM in China with vice president

 GEL D.A. in China Visiting Universities and Jiangxi university of TCM is one of the best university in china

WANAFUNZI LINDI WAPATA TABU KWA KUKOSA KIVUKO


 Wanafunzi wakishuka kwenye mtumbwi wakitokea 
Kijiji cha Kitunda,Manispaa ya Lindi wakielekea shuleni.
Wanatumia usafiri huo kutokana na kukosekana 
kwa kivuko katika eneo hilo hali inayohatarisha maisha yao.

STUDENTS START BENEFITING FROM PPF EDUCATION PROGRAMME

By Queenter Mawinda

A total of 115 students in 48 schools in Temeke District have benefited from funding by the Parastatal Pension Funds (PPF) through a programme known as ‘Education Benefit.’
The educational benefit, payable from nursery school to Ordinary Secondary Level, is granted to children of any PPF member who passes away during their service period.


Speaking yesterday during a convocation held by 10 schools at the Dar es Salaam University College of Education (DUCE) in Temeke District, PPF Acting Director General Vupe Ligate said the Fund is committed to providing quality pensions and allied benefits to members for education of children of all members.


Several key persons who attended the concert included included Temeke District Commissioner Sophia Mjema, Mayor of Temeke Municipality Maabadi Suleiman, Temeke District Education Officer Erica Sendegeya and PPF stakeholders
Ligate said: “The fund will help in resolving hardships that arise when parents die, short of which the situation usually results in children becoming victims of illiteracy.”

NAIBU WAZIRI ELIMU KATIKA KASHFA YA VYETI

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo anadaiwa kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake ya kielimu ametumia majina manne tofauti.
Philipo Augustine Mulugo ndiyo jina lake halisi ambalo alilisomea mpaka alipohitimu darasa la saba kwa mara ya kwanza 1988, lakini kutokana na kwamba hakufaulu kwenda sekondari alirudia darasa hilo.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kwa takriban miezi mitatu sasa umebaini kuwa 1989, Mulugo alirudia darasa la saba katika Shule ya Msingi Rukwa ya mkoani Mbeya akitumia jina la Hamimu Hassan.
Imebainika kuwa kabla ya kuhitimu darasa la saba kwa mara ya pili, alibadili jina hilo (kutoka Hamimu Hassan) na kuwa Hamimu Augustino ambalo aliendelea nalo wakati akisoma elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari kutwa ya Mbeya (Mbeya Day) mwaka 1990.

MAGAZETI LEO JUMATATU







TUME YA PINDA YAANZA KUPATA HARUFU YA WANAFUNZI KUFELI.

Fredy Azzah, Mwananchi
Ukosefu wa walimu, upungufu wa vitabu na mazingira duni ya kujifunzia, ni baadhi ya sababu zilizotolewa kwa wingi na wadau wa elimu waliohojiwa na Tume ya Kuchunguza Matokeo ya Kidato cha Nne mwaka 2012 iliyoundwa na Waziri Mkuu.


Hayo yalielezwa jana na Mwenyekiti wa tume hiyo, Profesa Sifuni Mchome alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

“Watu wengi wanasema sababu za matokeo kuwa mabaya ni shida ya walimu, vitabu vichache na vingine vimepitwa na wakati, wanazungumzia pia usimamiaji wa shule na ukaguzi,” alisema Profesa Mchome.

WANAFUNZI 1050 WAACHA SHULE KWA MIMBA, MUSOMA.

WANAFUNZI 1067 wa shule za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma wameacha masomo katika miaka minne kutokana na tatizo la mimba na utoro, imeelezwa. Ofisa Elimu Sekondari wa Halmashauri hiyo Saverina Misinde alisema hali inaendelea kudumaza elimu hasa kwa watoto wa kike.

Alikuwa akitoa mada katika kikao cha wadau wa elimu katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo.

Kikao hicho kiliwashirikisha wakuu wa shule, waratibu elimu na wadau wengine kuangalia hali ya elimu katika halmashauri hiyo.

Alisema mwaka 2009 wanafunzi 46 waliacha masomo kwa mimba huku watu waliohusika kufanya vitendo hivyo hawakuchukuliwa hatua za sheria baada ya wazazi kutotoa ushirikiano kwa walimu na vyombo vya dola.

WALIMU WAWEKA REHANI KADI ZA ATM.

                        Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Dk Michael Kadege
Walimu zaidi ya 300 katika wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya wameweka rehani kadi za mashine za kutolea fedha benki(ATM) baada ya kukopa kwa watu binafsi.

Mkuu wa wilaya ya Mbozi, Dk Michael Kadege alisema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa kawaida wa mwaka wa Chama cha Kuweka na Kukopa (Saccos) cha walimu wilayani hapa kinachojumuisha pia wanachama kutoka wilaya ya Momba.

Alisema ni jambo la kusitikisha kwa walimu wanaoaminiwa na jamii kuwa werevu kujiingiza katika mikopo ya namna hiyo inayowalazimu kutoa pia namba zao za siri na kuruhusu wakopeshaji kwenda kujichukulia fedha benki mara mishahara inapotoka.

MEYA WA MANISPAA YA ILALA NA WANAFUNZI WA KIGILAGILA.


Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akigonga na wanafunzi wa shule ya msingi Kigilagila, Dar es salaam mara baada ya kuwakabidhi vitabu vya masomo vilivyotolewa na mfuko wa Pensheni wa PPF shuleni hapo jana,ikiwa ni sehemu ya kampeni ya Fao la Elimu.

PUT EDUCATION SUPERVISION UNDER ONE, STRONG GOVERNING BODY

The government has been urged to restructure the Tanzania Education Institute and the Regional Administration and Local Governments to form a single-and-strong governing body that would oversee the education sector in the country.


Making the observation ahead of the recently cerebrated Pi day, Mathematical Association of Tanzania (MAT) permanent secretary Makoye Wangereja, noted that availability of the two institutions complicated education system and hence prompting failures by students.

GEL DIRECTOR OF ADMISSION, ZAKIA NASSOR IN CHINA VISITING UNIVERSITIES.


 GEL D.A Zakia Hussein Nassor in China Visiting Universities and here she was in South China university of technology one of the best universities in science courses in China. 







KIKWETE ORDERS PRODUCTION OF E-LEARNING DETAILED REPORT.


PRESIDENT Jakaya Kikwete has ordered the ministry of Education and Vocational Training and that of Communication, Science and Technology to bring before him a detailed report on the implementation of e-learning in the country.

The computer-based learning programme was being administered by the two ministries, but according to the president,its implementation has been sluggish thus creating worries that the country's efforts  to embrace technologies had failed.

INTERNET,LACK OF MONITORING TO BLAME FOR POOR EDUCATION.



Social networking through Internet and poor monitoring by the parents are said to be the main cause of declining level of education in the country.

That was said during a meeting of head of secondary schools in Moshi Municipality, as among reasons behind the recent massive Form Four failures.

SERIKALI IANZISHE VITIVO VYA WASANIFU MAJENGO VYUONI.

Na  Happiness Mnale.

BODI ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), imeishauri serikali kufungua vitivo vya taaluma hiyo katika vyuo vyote nchini.

Bodi hiyo imefikia hatua hiyo, ili kupata wataalamu wa masuala ya majengo watakaoendana na teknolojia na kuziba pengo la uchache wao.

Akizungumza jijini Dar es Saalam jana, Mwenyekiti wa AQRB, Dk. Ambwene Mwakyusa, alisema mpaka sasa kuna wabuni wa majengo na wakadiriaji majenzi wapatao 770 waliosajiliwa kwa nchi nzima.

FINANCIAL EDUCATION -THE MISSING LINK!



WRITTEN BY JAGJIT SINGH

FROM DAILY NEWS

PUBLISHED ON TUESDAY, 12 MARCH 2013.







Recently I was going through one of the latest publications of magazine-'The Economist' wherein an interesting fact on financial education caught my attention.

The story goes as follows: Here is a test - suppose yup had USD 100/- in a saving account that paid simple interest at the rate of two per cent per year. If you leave the money in the account, how much would you have accumulated after 5 years : (a) mopper than USD 102 (b) exactly USD 102 or © less than USD 102?

The above test might look very simple to the reader of 'Daily News' , but a survey found that only half of the Americans aged over 50 years gave the correct answer. This was the second instance when I got shocked on the prevalence of financial education in our society.

WAZAZI KIKWAZO CHA ELIMU,KIBAHA

 WAZAZI waliopo katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, wametajwa kuwa wanachangia kushuka kwa kiwango cha elimu wilayani hapa. Hali hii inakuja kutokana na kuwepo kwa mwamko mdogo kuhusu dhana ya uchangiaji wa maendeleo katika sekta ya elimu.
Madai hayo yaliibuliwa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Hajjat Halima Kihemba, alipokuwa akizungumza katika kikao cha wadau wa elimu.

Kikao hicho kiliandaliwa na halmashauri hiyo kwa lengo la kujadili jinsi ya kuboresha elimu pamoja na kuweka mikakati ya kupambana na changamoto zilizopo.

MAGAZETI YA LEO,JUMATATU



TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANZANIA BUSINESS SCHOOLS.




Tanzania Commission for Universities
Notice to Public
                TANZANIA BUSINESS SCHOOL
Tanzania Commission for Universities (TCU) would like to inform the general public that Tanzania Business School or its affiliates have not been accredited to run any degree level program in Tanzania.
TCU has learned that the school has illegally advertized for applications to various degrees. 
The degree programmes are not accredited and therefore illegal and award offered will not be recognized in Tanzania. 
The Commission has directed Tanzania Business School and its affiliates to immediately cease offering any degree level training in the country. 
Issued by:
Executive Secretary
Tanzania Commission for Universities

MGAZETI YA LEO,JUMAMOSI.



WANAFUNZI UDSM WAMBANA WAZIRI MKUU WA DENMARK.

     Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji naUwezeshaji),  Dk. Mary Nagu.

Wanafunzi wa Chuo Kikuu ccha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na kampasi zake wamembana Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa ziara yake ya kukitembelea chuo hicho.

Wanafunzi hao walimtaka Waziri Mkuu huyo kueleza madhumuni ya misaada mbalimbali inayotolewa na serikali yake nchini ikiwamo ya elimu iwapo inatolewa ili kuinua kiwango cha elimu au la.

MAJAMBAZI WAVAMIA OFISI ZA TCU.

        Kamanda Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela


Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kwa kushirikiana na mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Nge, wamevamia ofisi za Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na kumlewesha kwa chakula kinachodaiwa  kuchanganywa na dawa za kulevya mlinzi wa kampuni anayelinda katika ofisi hizo na kuvunja milango kisha kupora nyaraka na mali mbalimbali.
Kamanda wa Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa  lilitokea usiku wa kumkia jana.

WASICHANA WENGI WADAHILIWA ELIMU YA JUU.

Mhe. Ummy Mwalimu-Naibu Waziri wa Maendeleo ya jamii,jinsia na watoto.


Kiwango cha udahili  wa wanafunzi wa kike  kujiunga na elimu ya vyuo vya  juu kimeongezeka kutoka wanafunzi 49,959 mwaka 2010/11 hadi 60,592 (asilimia 19).


Aidha,  katika shule za sekondari umeongezeka kutoka wanafunzi 728,528 hadi 802,554 ikiwa (asilima 9.2) ukiwa ni uwiano wa wanafunzi wa kike na wa kiume kuwa asilimia 44.8.

MAGAZETI YA LEO, IJUMAA



RAIS WA VENEZUELA HUGO CHAVEZ AFARIKI DUNIA.


Makamu wa rais wa Venezuela Nicholas Marduro ametangaza kufariki dunia kwa rais Hugo Chavez, 58, kufuatia kuugua muda mrefu maradhi ya Saratani. 

Rais Chavez alikuwa anapokea matibabu nchi jirani ya Cuba.
Alirejea , mjini Caracas mnamo Februari 18 kwa mara ya kwanza tangu maradhi yake yamzidie ambapo alipelekwa hospitali ya kijeshi kuendelea kupokea matibabu. 

MAGAZETI YA LEO, JUMATANO



Share